Matthew 10:38-39

38 aTena yeyote asiyeuchukua msalaba wake na kunifuata, hastahili kuwa wangu. 39 bKwa maana yeyote anayetaka kuyaokoa maisha yake atayapoteza, lakini yeyote atakayeyapoteza maisha yake kwa ajili yangu atayapata.

Watakaopokea Thawabu

(Marko 9:41)

Copyright information for SwhKC